Usajili Uliokamilika VPL: Katoka Simba kwenda Singida United

Usajili Uliokamilika VPL: Katoka Simba kwenda Singida United

0

Usajili Uliokamilika VPL: Katoka Simba kwenda Singida United

Klabu ya Singida United imefanikiwa kuinasa saini ya Beki kutoka Simba Jamal Mwambeleko ambaye muda mwingi akiwa Simba alikuwa hapati nafasi katika Kikosi cha Kwanza.

Magazeti ya Michezo leo 25.7.2018

Kupitia Ukurasa wa Instagram wa Singida United wameelezea usajili huo licha ya kuwa mchezaji huyo alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja uliosalia Simba.

UJUMBE WALIOANDIKA SINGIDA UNITED

“BEKI WA KUSHOTO JAMAL MWAMBELEKO atua Singida United kwa mkataba wa Mwaka mmoja.
Mwambeleko amejiunga na Singida United akitokea Simba S.C ambako alikuwa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja.
Maongezi mazuri kati ya Simba na Singida United yamefikia hatua ya mchezaji huyo kuelekea kwa walima alizeti kwa kukipiga msimu ujao.

Welcome Jamal Mwambeleko

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY