Usajili wa Kwanza wa Manji Yanga huu Hapa

Usajili wa Kwanza wa Manji Yanga huu Hapa

0

Usajili wa Kwanza wa Manji Yanga huu Hapa

Wakati zoezi la Usajili likiwa limebakiza siku chini ya 20 kukamilika na Dirisha Kufungwa rasmi, Yanga bado inahaha kupata baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chake.

Huku hali ikiwa hivyo inaelezwa kuwa Usajili wa Kwanza wa Mwenyekiti aliyeomba Kujiuzulu Yusuph Manji huenda ukawa ni wa Mzimbabwe.

Kulingana na gazeti la Dimba la Tanzania msomaji wa Kwataunit.co.ke inaelezwa kuwa jina la Straika Charles Sibanda limeshatua na linasubiri baraka za Yusuph Manji ambaye siku yoyote kutoka sasa anaweza Kurejea Yanga.

Mchezaji huyo Mkongwe amepitia vilabu kadhaa huku akicheza pia timu ya Taifa ya Zimbabwe mara kadhaa kikiwemo kikosi cha Zambia kilichoshiriki kombe la Afrika 2014 na Kushika nafasi ya 4 baada ya Kufungwa na nigeria bao 1 kwa 0.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY