USAJILI : Yanga watambulisha Mashine 2 Kutoka Congo

USAJILI : Yanga watambulisha Mashine 2 Kutoka Congo

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

USAJILI : Yanga watambulisha Mashine 2 Kutoka Congo

Yanga leo wamefanikiwa kutangaza majina mawili ya wachezaji wapya kutoka nchini Congo kwaajili ya Msimu ujao wa Ligi.

Wachezaji hao wote ni raia wa Congo na wamesaini Kanadarasi ya Miaka miwili.

Klaus Nkinzi Kindoki ambaye ni Kipa na MWINGINE NI  hERITIER Makambo anayecheza nafasi ya Ushambuliaji.

UJUMBE WALIOANDIKA YANGA BAADA YA KUWATAMBULISHA.

” Rasmi
Klaus Nkinzi Kindoki (kushoto) na Heritier Makambo ni wachezaji wa @yangasc baada ya kandarasi ya miaka miwili kila mmoja
.
Wote hawa ni raia wa CONGO DRC, Klaus ni golikipa na Makambo ni mshambuliaji. “

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY