USAJILI : Yanga yatambulisha mchezaji mpya leo

USAJILI : Yanga yatambulisha mchezaji mpya leo

0

USAJILI : Yanga yatambulisha mchezaji mpya leo

Klabu ya Yanga leo imemtambulisha mchezaji mwingine ilyemsajili kwaajili ya Msimu ujao wa Ligi na mashindano mengine.

Mchezaji huyo ni Mohammed Issa Banka kutoka Mtibwa Sugar ambaye amesaini mkataba wa Miaka 2 kucheza Yanga.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY