Wachezaji wa Yanga waliotolewa kwa Mkopo na Kutemwa

Wachezaji wa Yanga waliotolewa kwa Mkopo na Kutemwa

0

Wachezaji wa Yanga waliotolewa kwa Mkopo na Kutemwa

Wakati Dirisha la Usajili likiwa Limefungwa siku ya Jana kwa wachezaji wa Ndani huku lile la wachezaji wa kimataifa likiwa bado klabu ya Yanga limeacha baadhi ya nyota wake baadhi wakitemwa na baadhi wakitolewa kwa Mkopo kwenda timu nyingine.

Waliotolewa kwa Mkopo.

Wachezaji vijana wa yanga ambao wamekuwa hawana nafasi kubwa ya kucheza Yohanna Mkomola ametolewa kwa Mkopo kwenda KMC Kwaajili ya Kuimarisha kiwango chake.

Mchezaji mwingine aliyetolewa kwa Mkopo ni Said Mussa ambaye hucheza winga ya Kulia yeye ametolewa kwa Mkopo kwenda Biashara UNited ya MARA.

Baruan Akilimali naye ametolewa kwa Mkopo kwenda Mbao Fc ya Jijini Mwanza.

Waliotemwa.

Klabu ya Yanga imeamua kuachana na mchezaji wake Said Makapu ambaye ametimkia zake Coastal Union ya Tanga.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY