Wachezaji wawili waliotambulishwa Yanga leo 12.7.2018

Wachezaji wawili waliotambulishwa Yanga leo 12.7.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Wachezaji wawili waliotambulishwa Yanga leo 12.7.2018

Klabu ya Yanga ya Nchini Tanzania imewatambulisha Nyota wake wawili wapya Leo makao Makuu ya Klabu hiyo.

Yanga imewatambulisha Feisal Salum “Fei Toto” ambaye amesaini miaka mitatu akitokea JKU ya Zanzibar na Mchezaji mwingine ni Jaffary Mohammed kutoka Maji Maji miaka miwili.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY