Wachezaji Yanga wakacha mazoezi waliofika ni hawa watatu tu

Wachezaji Yanga wakacha mazoezi waliofika ni hawa watatu tu

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Wachezaji Yanga wakacha mazoezi waliofika ni hawa watatu tu

Wakati hali ya Klabu ya Yanga ikielezwa kuwa siyo nzuri na baadhi ya viongozi wakitajwa kuwa ni chanzo cha Kuifikisha Yanga hapo Ilipo Hali inaelezwa kuwa inazidi kuwa Mbaya.

Siku ya jana ijumaa Mwalimu wa Yanga Mwinyi Zahera alikuwa na Program ya Mazoezi katika uwanja wa Polisi Kurasini yakiwa ni maandalizi ya Mchezo dhidi ya Gor Mahia lakini hali haikuwa shwari.

Mwinyi Zahera ilibidi ahairishe zoezi la mazoezi hayo mara baada ya wachezaji wengi kutotokea mazoezini huku sababu kubwa Ikitajwa kuwa ni kutolipwa mishahara yao.

Wachezaji pekee ambao walihudhuria mazoezi ya Siku ya Jana ni Mrisho Ngassa, Heritier Makambo na Deus Kaseke.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY