Wachezaji Yanga walioruhusiwa na CAF kushiriki Kimatifa

Wachezaji Yanga walioruhusiwa na CAF kushiriki Kimatifa

0

Wachezaji Yanga walioruhusiwa na CAF kushiriki Kimatifa

Hatimaye klabu ya Yanga kupitia kurasa zake za Instagram na Twitter zimewaanika hadharani wachezaji wake wawili walioruhusiwa na CAF kushiriki kimataifa.

Wachezaji hao ni Deus Kaseke ambaye ni Kiungo aliyerejea Yanga akitokea Singida United ambapo alitumika kwa msimu mmoja alitokea Yanga.

Mchezaji mwingine ni Matheo Anthony ambaye jina lake lilikuwa ni moja ya Majina ambayo hayakuwemo katika majina ya Wachezaji wa Yanga kimataifa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY