Wadhamini wapya wa Ligi Kuu Tanzania bara hawa hapa

Wadhamini wapya wa Ligi Kuu Tanzania bara hawa hapa

0

Wadhamini wapya wa Ligi Kuu Tanzania bara hawa hapa

Hatimaye Shirikisho la soka la Mpira wa Miguu nchini Tanzania limeiitangaza benki ya KCB kama mdhamini wa Ligi Kuu Soka ya Tanzania Bara.

Kwasasa Mdhamini Mkuu wa Ligi kuu kwa msimu wa lIGI KUU ni Vodacom na MSIMU wa 2018/2019 Benki ya KCB itakuwa kama mdhamini mwenza

KCB wanakuwa wadhamini wa Ligi hiyo kwa dau la Shilingi milioni 420 za Kitanzania.

Kupitia Ukurasa maalumu wa Twitter wa Shirikisho la soka Nchini TFF wameandika Ujumbe Huu baada ya Dili kukamilika.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY