Walichokisema JKU baada ya Utata wa Fei Toto kusajiliwa Yanga na Singida

Walichokisema JKU baada ya Utata wa Fei Toto kusajiliwa Yanga na Singida

0

Walichokisema JKU baada ya Utata wa Fei Toto kusajiliwa Yanga na Singida

Baada ya utata mwingi kuibuka Juu ya usajili wa Feisal Salum Fei Toto akionekana kutambulishwa Singida United Mchana na baadaye Jioni Yanga nao kuibuka na Kumtambulisha Uongozi wa JKU umeibuka na Kuweka Kila kitu wazi.

Meneja wa timu ya JKU ya Zanziba Mohammed Kombo amefunguka na Kusema Singida United hawakufata utaratibu ambao umewekwa Dunia wa Kuwafata na Kuzungumza juu ya mchezaji huyo.

Hivyo wao kama JKU wanatambua Timu iliyowafata na kufanya nayo mazungumzo klabu ya Yanga kuwa ndiyo  iliyo na uhalali wa Kumsajili Feisal Salum “Fei Toto”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY