Wambura Kuweka Hadharani Ratiba VPL Leo, 

Wambura Kuweka Hadharani Ratiba VPL Leo, 

0

Wambura Kuweka Hadharani Ratiba VPL Leo,

Ofisa mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo saa 6:00 mchana, katika makao makuu ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Karume Ilala .

Miongoni mwa agenda zitakazohusika katika mkutano huo ni pamoja na utangazaji wa ratiba ya Ligi kuu kwa msimu wa 2018/2019.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY