Yahya Zayd wa Azam Fc achemka majaribio Sauzi

Yahya Zayd wa Azam Fc achemka majaribio Sauzi

0

Yahya Zayd wa Azam Fc achemka majaribio Sauzi’

Mchezaji wa Azam Fc ambaye siku kadhaa zilizopita alikwea pipa na kwenda nchini Afrika Kusini kwaajili ya kujaribu bahati yake ya Kucheza soka Kimataifa.

Yahya Zayd ambaye hucheza nafasi ya ushambuliaji alienda Afrika Kusini kufanya majaribio katika klabu ya Bidvest Wits inayoshiriki ligi kuu soka ya Afrika Kusini PSL.

Katika majaribio yake Yahya Zayd ameshindwa kufuzu majaribio hayo na sasa atarejea katika klabu yake ya Azam Fc.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY