Yanga waanza kwa kuwaduwaza GorMahia wawakwepa kwa Staili Hii

Yanga waanza kwa kuwaduwaza GorMahia wawakwepa kwa Staili Hii

0

Yanga waanza kwa kuwaduwaza GorMahia wawakwepa kwa Staili Hii

Yanga siku ya jana walikwea pipa kuelekea nchini Kenya kwaajili ya Mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo walifika salama nchini Kenya katika jiji La Nairobi.

Simba kuwatoa wawili kwenda Lipuli

Baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa  Jomo Kenyatta Yanga walijikuta wakiwaduwaza wenyeji wao Timu ya Gor Mahia kwa kukataa kila ofa waliyokuwa wameandaliwa na wenyeji wao.

Mmoja ya vigogo wa Gor Mahia walifika Uwanja wa ndege wa JKA kuwapokea Yanga akiwa na Usafiri maalum ambao ungewapeleka Yanga kwenye hotel ambayo walikuwa wamewaandalia lakini Yanga waligoma kupanda basi waliloletewa na hata kwenda kwenye hoteli waliyoandaliwa na Wenyeji wao wakihofia kuhujumiwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY