Yanga wafanya maamuzi haya kwa Youthe Rostand

Yanga wafanya maamuzi haya kwa Youthe Rostand

0

Yanga wafanya maamuzi haya kwa Youthe Rostand

Wakati Yanga ikiwa katika lawama kubwa kutoka kwa washabiki wengi ambao wamekuwa wakiona uwezo wa kipa wao  namba moja wa sasa Youthe Rostand kuwa ni mdogo na hafai kuwa kipa namba moja kwa Timu hiyo kuna Taarifa mpya kuhusu Youthe Rostand.

Simba wabadili maamuzi kwa Niyonzima

Rostand amezidi kuibua hisia za washabiki wa Yanga kufuatia vipigo viwili ambavyo YANGA imevipata kutoka kwa Gor Mahia kile cha 4 kwa 0 nchini Kenya na Kile cha 3 kwa 2 Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam wengi wakiamini anafungwa mabao mepesi.

MAAMUZI YALIYOFIKIWA.

Taarifa ya kuaminika ambayo kwataunit.co.ke imeipata ni kwamba viongozi wa Yanga wamekaa na kufikia maamuzi ya Kuvunja mkataba na Kipa huyo raia wa Cameron kwani hawaoni kama anamsaada na atawasaidia mbeleni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY