Yanga wataja wachezaji 9 ambao hawatakuwa kwenye Kikosi chao 2018/2019

Yanga wataja wachezaji 9 ambao hawatakuwa kwenye Kikosi chao 2018/2019

0

Yanga wataja wachezaji 9 ambao hawatakuwa kwenye Kikosi chao 2018/2019

Klabu ya Yanga hatimaye Imeweka wazi majina tisa ambayo hayatakuwa part ya Kikosi chao msimu wa 2018/2019.

Youthe Rostandi – Africa Lyon Mkopo

Hassan Kessy – Zambia Huru

Yohanna Mkomola – KMC Mkopo

Geofrey Mwashiuya – Singida untd Huru

Said Mussa Bakari – Biashara Mkopo

Baruan Akilimali – Mbao Mkopo

Said J Makapu – Coast Union Huru

Obrey Chirwa – Misri

Donald Ngoma – Azam FC Huru

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY