Yanga yaleta Kocha Msaidizi wa Zahera Mwinyi

Yanga yaleta Kocha Msaidizi wa Zahera Mwinyi

0

Yanga yaleta Kocha Msaidizi wa Zahera Mwinyi

Yanga ipo katika maandalizi ya Mchezo wa Kimataifa dhidi ya Gor Mahia ya kenya Katika Mchezo wa kombe ka Shirikisho barani Afrika mchezo utakaochezwa July 18 2018 nchini kenya.

Kuelekea pambano hilo inaelezwa kuwa Yanga wamemshusha msaidizi wa Kocha Mkuu Mwinyi Zaherea ambaye anajuikana kwa jina la Gei Bukasa raia wa Congo.

Taarifa zinaeleza kuwa Kocha huyo ametua Kimya Kimya nchini na Muda wowote ataanza kazi ndani ya Yanga.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY