Achana na Kufunga goli Makambo afunguka vilivyomshangaza zaidi Yanga

Achana na Kufunga goli Makambo afunguka vilivyomshangaza zaidi Yanga

0

Achana na Kufunga goli Makambo afunguka vilivyomshangaza zaidi Yanga

Achana na Ishu ya Straika Mpya wa Yanga kutupia Bao jana na Kuifanya Yanga kupata Ushindi mbele ya Mawenzi Market yeye amefunguka vitu vilivyomshangaza zaidi kwa Siku ya jana.

Heritier Makambo katika ujumbe wake alioandika katika ukurasa wake wa Instagram ameonyesha wazi kushangazwa na washabiki wa Yanga lakini pia Tukio zima la Kumthamini nahodha wake Nadir Haroub Cannavaro.

Soma Ujumbe wake hapo chini na Tafsiri kwa Kiswahili

This team @yangascis bigger than we players, I just witnessed something i’ve never before, Yanga Fans are amazing and just cool fans. I thanks the Almighty for giving us courage and fighting spirit. Go have a rest Big Captain cause you did what it supposed to be done by a great player. It’s my first season but what i see is what im gonna get. 
#Yanga#BigTeam#Tanzania#Congo#Africa#Bless#

UJUMBE WA MAKAMBO KWA LUGHA YA KISWAHILI

” Timu ya Yanga ni kubwa kuliko sisi wachezaji nimeshuhudia mwenyewe kitu ambacho sikuwahi kujionea, Washabiki wa Yanga wanashangaza na ni washabiki poa sana, Namshukuru Mungu kwa kutupa Ujasiri na Moyo wa Kupambana Nenda kapumzike salama nahodha maana umefanya yote yaliyopaswa kufanywa na mchezaji mkubwa, Ni msimu wangu wa Kwanza lakini naona kabisa ambacho naenda Kupata. “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY