Baada ya Kushinda 5 Mwinyi Zahera aomba jambo hili Yanga

Baada ya Kushinda 5 Mwinyi Zahera aomba jambo hili Yanga

0

Baada ya Kushinda 5 Mwinyi Zahera aomba jambo hili Yanga

Siku ya jana klabu ya Simba ilifanikiwa kucheza mchezo wa kirafiki ikiwa katika kambi yake Mkoani Morogoro, mkoa ambao Yanga itakaa kwa wiki mbili.

Magazeti ya michezo leo

Katika mchezo huo wa Kirafiki Yanga ilicheza na Timu ya Tanzanite Academy na Kufanikiwa kupata ushindi wa Bao 5 kwa 1 huku mabao ya Yanga yakifungwa na Makambo, Ngassa, Kaseke, Maka Edward na Emmanuel Martin.

MWINYI ZAHERA

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera baada ya Mchezo huo ameutaka uongozi wa Yanga kutafuta mechi nyingine 3 za Nguvu ili kuipa changamoto zaidi Yanga kwani katika mchezo wa Jana kwa Yanga ulikuwa kama mwepesi sana kwahiyo anataka mechi 3 ngumu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY