Beki Simba kukaa mechi kibao nje ya uwanja, apewa uangalizi wa Daktari

Beki Simba kukaa mechi kibao nje ya uwanja, apewa uangalizi wa Daktari

0

Beki Simba kukaa mechi kibao nje ya uwanja, apewa uangalizi wa Daktari

Wakati Simba siku ya jana ikitwaa Ngao ya jamii mbele ya wana tamtam Mtibwa Sugar jijini Mwanza katika uwanja wa CCM KIRUMBA Hali ya beki wake bado haijakaa sawa.

Beki wa Simba aliyesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar Salim Mbonde inaelezwa kuwa bado haijakaa sawa na atakaa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi.

Mbonde ambaye alitonesha majeraha yake wakati wa mechi kati ya Simba na Kagera Sugar mechi ya mwisho ya Ligi SImba ikikabidhiwa Ubingwa amesema kwasasa bado anaendelea na mazoezi maalumu chini ya Daktari wa Viungo.

Bonyeza hapa KULike Ukurasa wetu wa facebook kuzipata habari kwa Haraka zaidi

Beki huyo ameshauriwa aendelee kuwa mvumilivu ili apone kabisa majeraha yake maana akienda kinyume na hapo basi akiumia tena majeraha yanaweza kuchua muda mrefu zaidi kupona.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY