Cannavaro azungumzia hali ya Kambi na Majeruhi mpaka sasa kikosini

Cannavaro azungumzia hali ya Kambi na Majeruhi mpaka sasa kikosini

0

Cannavaro azungumzia hali ya Kambi na Majeruhi mpaka sasa kikosini

Aliyekuwa mchezaji na nahodha wa Yanga Ambaye kwasasa ndiye meneja wa klabu ya Yanga Nadir Haroub Upapa “Cannavaro” amefunguka juu ya Hali ya Kambi yao iliyopo mkoani Morogoro.

Beki huyo aliyecheza kwa mafanikio makubwa ndani ya Kikosi cha Yanga amesema kambi inaendelea vizuri na wachezaji wanafurahia kambi hiyo kutokana na Utulivu na hali ya hewa kuwa nzuri.

MAJERUHI

Meneja wa Yanga Nadir Haroub Cannavaro amefunguka kuwa mpaka sasa kuna majeruhi mmoja tu ambaye ni Matheo Anthony ambaye aliumia kwenye mchezo wa Kirafiki kati ya Yanga na Tanzanite Academy lakini wachezaji wengine wote wako fiti.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY