Emmanuel Amunike kocha mpya wa Taifa Stars

Emmanuel Amunike kocha mpya wa Taifa Stars

0

Emmanuel Amunike kocha mpya wa Taifa Stars

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amemtangaza kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Wallace Karia amemtangaza Emmanuel Amunike kutoka Nigeria kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inayodhaminiwa na bia ya Serengeti kwa mkataba wa miaka 2.

Emmanuel Amunike anaichukua timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars ” ambayo ilikuwa chini ya Salum Mayanga mzalendo ambaye mkataba wake uliisha.

Emmanuel Amunike anachukua Mikoba hiyo akiwa na msaidizi wake kutoka Nigeria Emeka Ahmed na kocha mwingine Mzalendo ambaye bado hajatangazwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY