Fei Toto aeleza sababu za Kushindwa kuripoti Taifa Stars

Fei Toto aeleza sababu za Kushindwa kuripoti Taifa Stars

0

Fei Toto aeleza sababu za Kushindwa kuripoti Taifa Stars

Kiungo wa Yanga Feisal Salum maarufu kama Fei Toto lilikuwa ni moja ya majina 7 yaliyoondolewa kwenye kikosi cha Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kutokana na kuchelewa kuripoti katika kambi hiyo.

Kiungo huyo ameeleza sababu za yeye kuchelewa kuripoti kambini kuwa alikwenda kumsindikiza mchezaji mwenzake wa Yanga Said Makapu ambaye alifiwa na Mama yake mzazi huko Zanzibar.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY