Fei Toto ataja mchezaji anayemzimia zaidi anapocheza naye Yanga

Fei Toto ataja mchezaji anayemzimia zaidi anapocheza naye Yanga

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Fei Toto ataja mchezaji anayemzimia zaidi anapocheza naye Yanga

Feisal Salum “Fei Toto” ni  moja ya jina jipya kwenye kikosi cha Yanga msimu wa 2018/2019 akiwa amesajiliwa kutoka katika klabu ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ya Zanzibar.

Feisal Salum maarufu zaidi kwa jina la Fei Toto amefunguka na kusema huwa anajisikia vizuri anapocheza na Mohammed Issa Banka wakiwa pamoja uwanjani.

Fei Toto amefunguka kuwa anapocheza na Mohammed Issa Banka anakuwa na mizuka kwani mchezaji huyo anamjulia sana wanapocheza kwa pamoja kwani anavitu vingi kiufundi na anapenda aina yake ya Uchezaji na hata Banka mwenyewe anamjulia pasi zake.

Feisal  Salum na Mohammed Banka ni wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar na wamewahi kucheza pamoja katika timu ya Taifa ya ZANZIBAR

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY