Habari 2 walizotoa Yanga usiku huu moja njema kumhusu Manji

Habari 2 walizotoa Yanga usiku huu moja njema kumhusu Manji

0

Habari 2 walizotoa Yanga usiku huu moja njema kumhusu Manji

Yanga wametoa taarifa mbili usiku wa leo moja ikiwa inamhusisha Mwenyekiti wao Yusuph manji ambaye kwa muda mrefu amekuwa kimya huku watu wakiwa hawaelewi nini kinaendelea kwa Manji na Yanga.

Wakitumia Ukurasa wao wa Instagram Yanga wametoa Taarifa ya uwepo wa Mwenyekiti wao Yusuph Manji kwenye mchezo dhidi ya USM Alger siku ya Jumapili huku mgeni rasmi akiwa mkuu wa majeshi nchini Venance Mabeyo.

A post shared by Young Africans SC (@yangasc) on

YANGA pia kupitia Ukurasa wa Instagram wameandika ujumbe wa kuagwa mkoani Morogoro kupitia umoja wa matawi mkoani humo huku wakifanyiwa maombi na Viongozi wa Dini kutoka Mkoani Morogoro

Bonyeza hapa KULike Ukurasa wetu wa facebook kuzipata habari kwa Haraka zaidi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY