Habari mpya 2 na njema walizotoa Yanga usiku Huu

Habari mpya 2 na njema walizotoa Yanga usiku Huu

0

Habari mpya 2 na njema walizotoa Yanga usiku Huu

Klabu ya Yanga ikitumia kurasa zake za Instagram imetoa taarifa mbili usiku huu juu ya Kambi yao ambazo ni njema kuelekea mchezo wao dhidi ya Mawenzi lakini Pia matayarisho ya Ligi Kuu VPL.

Taarifa ya Kwanza ni juu ya kambi kuwa shwari na wachezaji wote kuwa wapo fiti licha ya siku kadhaa zilizopita kulikuwa na taarifa ya majeruhi Matheo Anthony.

Katika hatua Nyingine klabu ya Yanga leo imepewa zawadi kutoka kwa kampuni ya Justfit ambayo inajihusisha na uuzaji wa vifaa vya michezo ambapo kampuni hiyo imetoa mipira 10 kwa Yanga.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY