Habari Mpya kutoka Simba asubuhi ya leo 10.8.2018

Habari Mpya kutoka Simba asubuhi ya leo 10.8.2018

0

Habari Mpya kutoka Simba asubuhi ya leo 10.8.2018

Klabu ya Simba ya jijini Dar Es Salaam imetoa Taarifa asubuhi kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii juu ya Safari ya Simba kwenda mkoani Lindi Kuvaana na Namungo Fc.

Kikosi cha Simba kipo njiani kuelekea Lindi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo FC, mchezo huu utapigwa kwenye Uwanja wa Majaliwa mkoani humo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY