Habari Mpya kutoka Simba Jioni Hii 9.8.2018

Habari Mpya kutoka Simba Jioni Hii 9.8.2018

0

Habari Mpya kutoka Simba Jioni Hii 9.8.2018

Mara baada ya Klabu ya Simba jana kucheza mchezo wa Kirafiki na Mabingwa wa zamani wa Ligi kuu ya nchini  Ghana timu ya Asante Kotoko, Simba watacheza mchezo mwingine wa Kirafiki wikiendi Hii.

Mechi hiyo itakuwa ni kati ya Simba na Namungo Fc ya Mkoani Lindi, Mechi ikiwa ni maalumu kwaajili ya Uzinduzi wa Uwanja wa Majaliwa (Majaliwa Stadium) ukipewa jina na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni Mbunge huko Ruagwa ambapo ndipo mechi hiyo itachezwa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY