Habari mpya kutoka Yanga Jioni Hii 3.8.2018

Habari mpya kutoka Yanga Jioni Hii 3.8.2018

0

Habari mpya kutoka Yanga Jioni Hii 3.8.2018

Klabu ya Yanga imethibitisha rasmi kuwa imefanya mazungumzo na kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kipa wake Youthe Rostand,

Youthe Rostand aliyejiunga na Yanga akitokea African Lyon alikuwa bado anamkataba wa mwaka mmoja na Yanga mkataba ambao ungeisha mwishoni mwa msimu wa 2018/2019.

Klabu ya Yanga imeeleza kuwa walikuwa tayari kumpeleka kwa Mkopo African Lyon lakini yeye mwenyewe alisema kuwa kisaikolojia hayuko sawa hivyo ni vyema wavunje mkataba.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY