Habari Mpya kutoka Yanga Usiku Huu 2.8.2018

Habari Mpya kutoka Yanga Usiku Huu 2.8.2018

0

Habari Mpya kutoka Yanga Usiku Huu 2.8.2018

Mwenyekiti wa Kamati ya usajili na mwenyekiti wa kamati ya Mashindano klabu ya Yanga Hussein Nyika amesema klabu ya Yanga leo imefika salama mkoani Morogoro ambapo watakuwa na Kambi ya takribani wiki mbili na ushee kujiandaa na Ligi na michezo ya Kimataifa.

Mazoezi yanaanza Lini?

Hussein Nyika MSOMAJI wa kwataunit.co.ke amesema kuwa kikosi cha Yanga kitaanza mazoezi rasmi Kesho mkoani Morogoro na wakiongozwa na Kocha mkuu na Benchi lake la ufundi akiwemo meneja wa Timu hiyo Nadir Haroub Cannavaro ambaye ndiye aliyeongozana na Timu mkoani Morogoro timu ikitokea jijini Dar Es Salaam.

Hussein Nyika amesema pia tarehe 12.8.2018 amesema kesho watasema wataitangaza timu itakayocheza na Yanga kwaajili ya Kumuaga Cannavaro.

Sheria Mpya ya Kadi za Njano na Nyekundu kwa makocha ligi kuu ya Uingereza EPL

Kuhusu Kipa Youthe Rostand kuvunjiwa Mkataba.

Hussein Nyika amesema mpaka sasa mchezaji huyo ni mchezaji wa halali wa Yanga na kama kuna chochote basi watafahamishwa lakini kuna kikao wanaenda kufanya leo na Kila kitu kitawekwa wazi kufikia kesho mambo yote yataeleweka kuhusu Youthe Rostand.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY