Habari Mpya kutoka Yanga usiku Huu 9.8.2018

Habari Mpya kutoka Yanga usiku Huu 9.8.2018

0

Habari Mpya kutoka Yanga usiku Huu 9.8.2018

Wakati baadhi ya watu wakiamini Yanga haiko vizuri na haitafanya vizuri msimu ujao kutokana na ukata ambapo upo Kaimu katibu mkuu wa Yanga Omary kaaya ameibuka na kupingana na kauli za namna hiyo.

Omary Kaaya amefunguka kuwa timu si mbaya na kinachofanyika kwa sasa ni kuhakikisha Yanga inarudi kwenye makali yake ya awali.

KUHUSU MIGOMO YA WACHEZAJI

Omary Kaaya amesema kwasasa hawezi kuzungumzia masuala ya Migomo na hata ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kipindi ambacho yeye hakuwa Kiongozi lakini hata

Hatuna timu mbaya sana kama ambavyo watu wengi wanasema, Tulipoteleza inabidi kujitoa, Kiu ni kuona timu inarudi kwenye ubora wake.

MIGOMO

Migomo meneja au

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY