Habari njema kutoka Simba jioni ya Leo 6.8.2018

Habari njema kutoka Simba jioni ya Leo 6.8.2018

0

Habari njema kutoka Simba jioni ya Leo 6.8.2018

Mabingwa wa soka nchini Tanzania Klabu ya simba SC imeingia mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja na Kampuni ya A-One Products and Bottlers Lt ambao chini ya Brand ya Mo Energy Drinks  wenye thamani ya Shilingi milioni 250.

Baada ya Simba Kusaini Mkataba huo mnono kutoka kampuni ya A-One Products and Bottlers Limited Kaimu Rais wa Klabu hiyo Salim Abdallah  maarufu kwa jina la  ” Try Agaon “amesema kuwa Fedha hizo zitasaidia kuendeleza ujenzi wa Uwanja wao uliopo Bunju, Dsm

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY