Habari njema kutoka Simba Usiku Huu

Habari njema kutoka Simba Usiku Huu

0

Habari njema kutoka Simba Usiku Huu

Klabu ya Simba imezidi kuwapa habari nzuri wapenzi, washabiki na Wanachama wa klabu hiyo kuhusiana na suala maamuzi yatakayokuwa yakifanywa ndani ya Simba kuhusu klabu hiyo.

Kulingana na Afisa habari wa Simba kwasasa muundo umebadilika na maamuzi yoyote ya Simba yatakuwa yanafanyika na kuamuliwa kupitia Bodi na Siyo mtu binafsi.

Kupitia Instagram Haji manara ameandika Ujumbe Huu.

Tumebadili muundo wa uendeshaji wa klabu ili kutomtegemea mfadhili..muundo huu unatupa fursa cc na mwekezaji kuipeleke Simba mbele zaidi..shida ya kumtegemea mtu akisusa au vinginevyo ni shida.
Now kikao cha Bodi ya Wakurugenz Simba kinaendelea…na lolote linaloamuliwa linafanywa na Bodi c mtu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY