Habari njema zaidi kutoka Yanga leo 7.8.2018

Habari njema zaidi kutoka Yanga leo 7.8.2018

0

Habari njema zaidi kutoka Yanga leo 7.8.2018

Yanga inendelea na mazoezi yake mkoani Morogoro sehemu ambapo Yanga itaweka Kambi ya Takribani wiki mbili kabla ya kucheza mchezo wake dhidi ya Waarabu USM Alger Mnamo August 19 jijini Dar Es Salaam.

Wakati huo Yanga Inaendelea na mazoezi yake huku mpaka sasa ikiwa ishafanya mazoezi katika viwanja vitatu tofauti ule wa Jamhuri, Uwanja wa chuo Kikuu cha Sokoine na Ule wa Highlands.

Habari Njema.

Wakati washabiki wengi wakiwa wanasumsubiri Kumuona Straika wao Mpya Herritier Makambo raia wa Congo habari njema ni kwamba ITC yake tayari imeshafika Nchini na sasa mchezaji huyo atakuwa mchezaji halali kabisa wa Yanga kitaratibu za FIFA na CAF kwa mchezaji toka Nje ya Nchi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY