Haji Manara amwandikia Ujumbe Huu Jerry Muro kuelekea mchezo na Arusha United

Haji Manara amwandikia Ujumbe Huu Jerry Muro kuelekea mchezo na Arusha United

0

Haji Manara amwandikia Ujumbe Huu Jerry Muro kuelekea mchezo na Arusha United

Kuelekea pambano kati ya Simba Sports Club na Arusha United kesho jijini Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Haji Manara amemwandikia Ujumbe Afisa habari wa zamani wa Yanga Jerry Muro kuelekea mchezo huo.

“@jerrymuro1980 njoo utupokee KIA..uje na kesho uwanjani tukunyooshe ww na RC wako @mrisho_gambo …Arusha mpo? Nyama choma wapi!!😁 “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY