Haji Manara Atamba hakuna Kama Simba Afrika kwenye Hili

Haji Manara Atamba hakuna Kama Simba Afrika kwenye Hili

0

Haji Manara Atamba hakuna Kama Simba Afrika kwenye Hili

Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara  ameibuka na Kuandika ujumbe mrefu kupitia Ukurasa wake wa Instagram ndani yake akianza kwa kuwaponda Yanga na wale waliokuwa wanaiita Timu ya wananchi huku akifunguka kuwa hakuna timu inayoweza kujaza uwanja kwenye mechi ya Kirafiki kwa timu za Afrika.

Ujumbe wa Haji Manara huu hapa chini

Siku hz sisikii zile lugha za walevi eti Yanga ndio team ya Serekali au kujiita team ya Wananchi!!
Nchi yetu Serekali haina team na Wananchi ni Watanzania wote!!
Taasisi zote rasmi na kwa vigezo vyovyote vile zimethibitisha pasi na roho mbaya kuwa Simba ndio klabu inayoongoza kwa kuwa na mashabiki wengi zaidi Tanzania.anzia kwa kujaza viwanja kote nchini na hata dunia ya social media tumewacha maili milioni Gongowazi..
Kiufupi haipo na haijaundwa any footboll club inayoweza kujaza umma huo kwenye friend match Afrika nzima
Kabla ya kuntolea povu nipinge kwa data kama huna wahi kwenye lindi ukapuuuu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY