Haji Manara atamba Simba kuwa timu ya Kwanza kufanya hivi

Haji Manara atamba Simba kuwa timu ya Kwanza kufanya hivi

0

Haji Manara atamba Simba kuwa timu ya Kwanza kufanya hivi

Haji MANARA huwa haishiwi Tambo kwa klabu yake ya Simba leo ameamka na hili la Simba kuwa klabu ya Kwanza ya Mchezp na Soka kupanda ndege mpya ya DremLiner.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe Huu.

Yes hakuna ubishi Simba imekuwa klabu ya kwanza ya michezo na mpira kukwea mwewe mpya wa Dreamliner..wengine watafuatia!! Acha tuunge mkono mipango mizuri ya kinchi coz cc ni machampioni wa nchi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY