Hassan Kessy amalizana rasmi na Wazambia

Hassan Kessy amalizana rasmi na Wazambia

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Hassan Kessy amalizana rasmi na Wazambia

HATIMAYE aliyekuwa mlinzi wa Kulia wa timu ya Yanga Hassan Ramadhan Kessy amemalizana na klabu iliyokuwa inatajwa kumwekea dau la milioni 70 ili kumsajili.

Hassan Kessy amefanikiwa kuingia Kandarasi ya miaka miwili kuichezea timu ya Nkana Rangers mabingwa mara 12 wa ligi kuu ya Zambia

JEZI YA HASSAN KESSY NKANA RANGERS

Hassan Kessy sasa atakuwa akivaa jezi namba 22 akiwa na timu yake Mpya ya Nkana Rangers inayoshiriki ligi kuu ya Zambia

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY