Hawa ndiyo majeruhi Simba kuelekea mchezo na Mbeya City

Hawa ndiyo majeruhi Simba kuelekea mchezo na Mbeya City

0

Hawa ndiyo majeruhi Simba kuelekea mchezo na Mbeya City

IKUFIKIE hii ya Majeruhi Simba ambao wapo kwenye hatihati ya Kuukosa mchezo kati ya Simba dhidi ya mbeya City mchezo ambao utachezwa kesho Jumatatu Agosti 27 2018 katika uwanja wa Taifa.

Kwa mujibu wa Kocha wa Simba Patrick Aussems Simba inaweza ikawakosa nyota wake Emmanuel Okwi na Kiungo Mzamiru Yassin ambao wanasumbuliwa na Majeraha.

Hata hivyo bado madaktari wa timu hiyo wanaendelea kuwafanyia matibabu wachezaji hao lakini kwa hali walizonazo wanahatihati ya Kukosekana katika mchezo huo. Usipitwe na Habari zetu kwa haraka Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY