Hawa ndiyo wanaounda kamati ya Uchaguzi Simba

Hawa ndiyo wanaounda kamati ya Uchaguzi Simba

0

Hawa ndiyo wanaounda kamati ya Uchaguzi Simba

Klabu ya Soka ya Simba mambo yameanza kukaa sawa kwenye masuala ya Uchaguzi ambapo klabu ya Simba imetangaza kamati nzima ya Uchaguzi.

Kamati hiyo inaundwa na mwenyekiti Boniface Lyamwike, Makamu wake akiwa  wakili Steven Ally.

Katibu wa kamati ya usajili Simba ni Issa Batenga na Wajumbe ni Richard Mwalwiba na Mbita ambapo kamati hiyo ndiyo itatoa kila taarifa kuhusu uchaguzi wa Simba ikiwemo Tarehe ya Uchaguzi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY