Haya ndo maendeleo ya John Bocco, Je atacheza dhidi ya Mtibwa? Majibu...

Haya ndo maendeleo ya John Bocco, Je atacheza dhidi ya Mtibwa? Majibu haya hapa

0

Haya ndo maendeleo ya John Bocco, Je atacheza dhidi ya Mtibwa? Majibu haya hapa

Katika wachezaji ambao hawajaonekana katika mechi za kirafiki za Simba kuelekea msimu wa 2018 basi moja ya wachezaji hao ni John Raphael Bocco toka zile mechi za Uturuki na hata ya Asante Kotoko na ile ya Namungo Fc.

Lakini hii inaweza kuwa habari njema kwa washabiki, wapenzi na wanachama wa SImba kuhusu Nahodha wao John Bocco kwani imeelezwa na Meneja wa Timu hiyo Robert kuwa hali ya Nahodha wao John Bocco inaendelea vizuri na tayari ameanza mazoezi na wenzake timu iliporejea kutoka Lindi.

VIPI JOHN BOCCO ATACHEZA DHIDI YA MTIBWA 18.8.2018?

Kutokana na sasa kuwa fiti na kuanza mazoezi inaelezwa kuwa John Bocco anaweza kuwa kwenye kikosi cha Simba kitakacheza na Mtibwa Sugar 18.8.2018.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY