Je mechi ya Yanga na Mawezi itaonyeshwa? Majibu haya hapa

Je mechi ya Yanga na Mawezi itaonyeshwa? Majibu haya hapa

0

Je mechi ya Yanga na Mawezi itaonyeshwa? Majibu haya hapa

Baada ya watu wengi kuuliza juu ya mechi maalum ya Kumuaga aliyekuwa nahodha wa Yanga Nadir Haroub Cannavarokama Itaonyeshwa au haitaonyeshwa kwenye Tv

Taarifa za Kuaminika ambazo Kwataunit.co.ke imezipata ni kwamba mechi hiyo itaonyeshwa Live kupitia Azam sPORTS hd kuanzaia majira ya saa kumi jioni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY