Jezi za Wachezaji hawa wa Simba ndizo zinazouzwa zaidi Arusha

Jezi za Wachezaji hawa wa Simba ndizo zinazouzwa zaidi Arusha

0

Jezi za Wachezaji hawa wa Simba ndizo zinazouzwa zaidi Arusha

Wakati Jumatano 14.8.2018 Kukiwa na Pambano kati ya Arusha United na Simba katika uwanja wa Sheikh Amri Abeib Tayari jezi zenye majina ya Nyota wa Simba zimeonekana zikizagaa katika jiji la Arusha.

Lakini kulingana na Mtandao wa Mwanaspoti ni kwamba jezi za wachezaji Adam Salamba na Meddie KAGERE ndizo jezi ambazo zinauza zaidi kwasasa.

Simba itacheza mchezo kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani huku Viingilio vikiwa ni VIP A 20,000 , VIP B 10,000 NA Mzunguko 5000.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY