John Bocco aandike Ujumbe huu wa Faraja kwa wana Simba

John Bocco aandike Ujumbe huu wa Faraja kwa wana Simba

0

John Bocco aandike Ujumbe huu wa Faraja kwa wana Simba

Ukiongelea moja kati ya wachezaji walioipigania vilivyo Simba mpaka kutwaa Ubingwa basi John Raphael Bocco naye ni moja ya wachezaji walioshiriki kwa kujitoa sana msimu wa 2017/2018.

Kupitia ukurasa wake wa instagram John Bocco ameandika ujumbe kuwashurukuru washabiki, Viongozi na washabiki huku akitoa maneno ya Faraja zaidi kwa kusema kila atakapopata nafasi ya Kuitumikia Simba basi atajitoa kwa kila hali.

“Mwaka 1 tu ndani ya club 🔴, nitakuwa mchoyo wa shukrani kama sitasema Asante kwa club yangu🙏🏿🙏🏿 heshima ninayoipata kutoka kwa viongozi,wachezaji wenzangu pamoja na mashabiki wa club nikubwa sana.. napenda kusema asante sana nyie ndio mnaonifanya nijihisi Bocco na mwenye nguvu wakuipigania club Asante sana🙏🏿🙏🏿🙏🏿 wanasimba wote inshaallah nitajitahidi kilanitapopata nafasi ya kuipigania timu yangu kwa hali na mali kwa jasho au damu Asante sana 🙏🏿🙏🏿 inshaallah nguvu 1 💪🏿💪🏿”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY