Juma Mahadhi wa Yanga ataja mchezaji anayemkubali zaidi Simba

Juma Mahadhi wa Yanga ataja mchezaji anayemkubali zaidi Simba

0

Juma Mahadhi wa Yanga ataja mchezaji anayemkubali zaidi Simba

Kiungo wa pembeni wa Klabu ya Yanga Juma Mahadhi amefunguka mchezaji ambaye anamkubali zaidi kwa upande wa wapinzani wao Klabu Ya Simba.

Juma Mahadhi ambaye alijiunga na Yanga akitokea katika klabu ya Coastal Union ya Tanga amemtaja Mganda Emmanuel Okwi kuwa ni moja ya wachezaji wanaomvutia zaidi akiwa Uwanjani.

Juma Mahadhi amefunguka kuwa Emmanuel Okwi anavitu vingi sana anapokuwa uwanjani kiasi cha Kuvutiwa na aina yake ya Uchezaji anapokuwa Uwanjani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY