Kikosi cha Kenya chatajwa maandalizi ya Kufuzu Afcon dhidi ya Ghana

Kikosi cha Kenya chatajwa maandalizi ya Kufuzu Afcon dhidi ya Ghana

0

Kikosi cha Kenya chatajwa maandalizi ya Kufuzu Afcon dhidi ya Ghana

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Kenya Sébastien Migné  ametaja kikosi cha awali cha wachezaji 38 ambao wanajiandaa na mchezo dhidi ya Ghana kufuzu AFCON.

Katika kikosi hiko cha Harambee Stars kocha Sébastien Migné  amewajumuisha wachezaji 19 wanaocheza soka la Kulipwa akiwemo majeruhi Victor Wanyama.

Mchezo kati ya Kenya na Ghana utachezwa September 8, 2018 katika uwanja wa Kasarani huku kambi ikitarajiwa kuanza 2 September 2018 kwa wachezaji wa ndani na wa nje wakiingia kuanzia tarehe 3 September.

Full SquadGoalkeepers: Ian Otieno (Red Arrows, Zambia), Patrick Matasi (Tusker), Boniface Oluoch (Gor Mahia), Brian Bwire (Kariobangi Sharks) and Farouk Shikalo (Bandari).

Defenders: Brian Mandela (Maritzburg, South Africa), David Owino (Zesco, Zambia), Joseph Okumu (AFC Ann Arbor, USA), Musa Mohammed (Nkana FC, Zambia), Erick Ouma (Vasalund, Sweden), David Ochieng (IF Brommapojkarna, Sweden), Abud Omar (Cercle Brugge, Belgium), Philemon Otieno (Gor Mahia), Jockins Atudo (Posta Rangers), Dennis Odhiambo (Sofapaka), Joash Onyango (Gor Mahia) and Benard Ochieng (Vihiga United).

Midfielders: Victor Wanyama (Totenham Hotspurs, England), Mc Donald Mariga (Real Oviedo, Spain), Clifton Miheso (Buildcon FC, Zambia), Paul Were (FC Kaisar, Kazakhstan), Ismael Gonzales (CF Fuenlabrada, Spain), Eric Johanna (IF Brommapojkarna, Sweden), Johanna Omollo (Cercle Brugge, Belgium), Anthony Akumu (Zesco, Zambia), Whyvonne Isuza (AFC Leopards), Francis Kahata (Gor Mahia), George Odhiambo (Gor Mahia), Duncan Otieno (AFC Leopards) and Samuel Onyango (Gor Mahia).

Forwards: Michael Olunga (Kashiwa Reysol, Japan), Ovella Ochieng (Vasalund, Sweden), Jesse Were (Zesco, Zambia), Masud Juma (Un-attached), Cliff Nyakeya (Mathare United), Abdallah Hassan (Bandari), Piston Mutamba (Sofapaka) and Allan Wanga (Kakamega Homeboyz).

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY