Kisa uwezo dimbani Zahera amtabiria Tp Mazembe mchezaji huyu Yanga

Kisa uwezo dimbani Zahera amtabiria Tp Mazembe mchezaji huyu Yanga

0

Kisa uwezo dimbani Zahera amtabiria Tp Mazembe mchezaji huyu Yanga

Ukisikia uwezo huwa haujifichi unapopata nafasi ya Kuonekana basi ndivyo ilivyo na Hii ni baada ya Kocha wa Yanga kuanza kuona uwezo wa wachezaji wengi waliosajiliwa Yanga katika kambi ya Yanga iliyopo mkoani Morogoro.

Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga baada ya Kuanza kufanya mazoezi na wachezaji wote ndani ya Kikosi chao ameanza kuona wachezaji mbalimbali huku akishindwa kutoa Hisia zake kwa Mchezaji Feisal Salum Fei Toto.

Mwinyi Zahera amefunguka na Kusema kwa kiwango alichonacho Feisal Salum “Fei Toto” Basi anauwezo wa Kucheza timu yoyote ile kubwa barani Afrika ikiwemo TP Mazembe ya Nchini Congo timu yenye ambayo ni asili ya Nchi Yake.

Mwinyi ZAHERA amesisitiza kama Feisal Salum ataendelea kufanya vizuri uwanjani basi hata kucheza mpira wa Kulipwa nje ya bara la Afrika anaweza kucheza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY