Kocha Rayon Sports ataja mchezaji wa Yanga anayemhofia

Kocha Rayon Sports ataja mchezaji wa Yanga anayemhofia

0

Kocha Rayon Sports ataja mchezaji wa Yanga anayemhofia

Mambo ni Moto kuelekea mchezo wa kuhitimisha mechi za makundi kombe la shirikisho barani Afrika kwa Yanga kucheza na Rayon Sports timu inayonolewa na Kocha Mbrazil Roberto Oliveira Goncalves katika uwanja wa Nyamirambo uliopo jijini Kigali Rwanda.

Kuelekea mchezo huo kocha Roberto Oliveira Goncalves ameweka wazi kuwa kuna mchezaji wa Yanga ambaye anamhofia zaidi kuelekea pambano hilo la leo.

Goncalves  msomaji wa kwataunit.co.ke amelitaja jina La Heritier Makambo kama mchezaji ambaye ameshawaambia wachezaji wake wahakikishe wanamchunga kutokana na kumuona kwenye mkanda wa Video akicheza dhidi ya USM Alger na hata ule wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar akisema mchezaji huyo anaakili na nguvu hivyo amewaandaa vyema walinzi wake kuhakikisha hawampi nafasi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY