Majeruhi Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa 18.8.2018

Majeruhi Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa 18.8.2018

0

Majeruhi Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa 18.8.2018

Simba leo itakwea pipa kuelekea jiji la miamba ” Rock City” Mwanza kwaajili ya pambano dhidi ya Mtibwa Sugar, Simba ikitokea mkoani Arusha ambapo Simba ilienda kwaajili ya maandalizi na kucheza mechi moja dhidi ya Arusha UNITED.

Kuelekea mchezo huo meneja wa Timu ya Simba Richard Robert ameelezea hali ya Kikosi cha Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar 18.8.2018 CCM Kirumba.

Richard Robert Msomaji wa Kwataunit.co.ke amefunguka kuwa kwasasa mchezaji pekee ambaye hana uhakika wa kucheza mchezo huo ni Shomari Kapombe kwani yeye bado ni majeruhi lakini John Bocco anaendelea vizuri na kama makocha wataona anafaa anaweza kucheza mchezo huo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY