Majibu ya Tambwe kuhusu kati ya Ngoma na Makambo yupi noma?

Majibu ya Tambwe kuhusu kati ya Ngoma na Makambo yupi noma?

0

Majibu ya Tambwe kuhusu kati ya Ngoma na Makambo yupi noma?

Mshambuliaji wa timu ya Yanga Amis Tambwe ametoa mtazamo wake kuhusu nani anaona ni bora kati ya Ngoma na Makambo ambaye ni Straika mpya wa Yanga aliyesajiliwa msimu Huu.

Alichosema Tambwe

“Mwili wake (Makambo) umeonekana ‘kunoki’ kutokana na mazoezi magumu ambayo alikuwa akifanya tulipokuwa Morogoro. Anahitaji mechi nyingine mbili za ushindani ili aweze kuwa sawa, kwa jinsi ninavyomuona atafanya mambo makubwa zaidi ya alivyokuwa Ngoma.

“Anajua kupiga mashuti, anajua kufunga kwa kichwa na miguu, ana uwezo wa ku­kaa na mpira, anajua kutengeneza nafasi za kufunga lakini pia siyo mchoyo na kutoa pasi za kufunga kwa wenzake, lakini pia ana kasi kubwa na nguvu za kupambana na mabeki, kwa hiyo mashabiki wampatie muda tu, naamini wote tutafurahia kuto­kana na uwezo wake,” 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY