Maneno ya Kishujaa ya mwinyi Zahera kabla ya mechi na Rayon leo

Maneno ya Kishujaa ya mwinyi Zahera kabla ya mechi na Rayon leo

0

Maneno ya Kishujaa ya mwinyi Zahera kabla ya mechi na Rayon leo

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ameongea leo kwenye press ya waandishi wa habari kuelekea mchezo kati yao na Rayon Sports utakaochezwa kuanzia Majira ya saa kumi kamili

Katika mazungumzo aliyoyaongea ameongea maneno ya Kishujaa akipania kuendeleza Ushindi ambao ameshaanza nao Yanga toka kwenye mchezo wa USM Alger na hata ule dhidi ya Mtibwa Sugar  TPL.

Tupo ugenini na tunaheshimu sana wapinzani wetu lakini kikubwa ni kwamba tutaendeleza wimbi letu la ushindi bila kujali tunacheza ugenini au nyumbani au tunacheza na nani – Mwinyi Zahera Kocha mkuu Yanga Sc

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY